Walioitwa interview Africa Princess Casino tujuane

Hawa jamaa walitangaza nafasi kibao za kazi kada mbalimbali na wameanza kuita watu. Kama nilisikia vizuri walisema interview ni pale New Africa Hotel, wakati mi najua ofisi zao zipo IT Plaza, au casino ya New Africa ni ya kwao?
Nataka tu kujua uhusiano.

UPDATE:
Naona watu wanakuja na CV na Vyeti wanapewa form ya kujaza na wanasubiri interview leo leo, kama upo karibu unaweza kusogea kujaribu bahati yako.

Nafasi kibao kama Barman, waiter, cashier, etc mambo ya casino/hotel

Fursa vijana hiyo changamkieni.
 
Tangazo lao la ajira liko wapi naomba nisaidie tafadhali
 
Acha kudanganya umma, wewe umechelewa. Mimi nimefika mapema tu, imefanyika interview kwa kada mbalimbali kama Barman, Electricians, etc IT na dealers zilikuwa za mwisho na ndio uliwakuta hao.
Haya uliza kingine
Nimekutana na HR amenambia leo wanafanya interview ya IT na Dealers... sasa sijui hizo nyingine, then nilienda kwa ajiri ya interview ya Cashier km ulivyoandika wewe kwenye bandiko lako nimeambiwa hakuna hiyo post kwenye tangazo... Labda niapply kwa post zingine, na hao uliowakuta wanachukua form nakujaza ni wale wanaoapply physically..
 
Search Google Ajira Princess Casino lipo kwa website za mabumbe na unistoretz
sasa kama uliweza kufanya hivi uliona kuna cashier?
Anyway, umepata uzoefu fulani, zote hizo ni struggle katika kutafuta kazi usikate tamaa.
 
Lakini ulisema kuna nafasi za Cashier, Waiter, Barman zote hazipo kwenye tangazo... uwe unatoa correct information
 
Ile hotel si inaitwa Four point by Sheraton? New Africa si ilikua casino, nafikiri hawapo pale maana nmesikia wanakarabati pale wanaifungua mwezi wa3 princess casino au hukuona mule ndani kuko under construction mkuu?
 
Kuna tofauti ya wanao ingia ingia na wanaoingiaga
 
Sasa huyu nae kapewa info badala asearch apate information kamili anataka mtoa mada ampe yeye kaenda kwa kukurupuka
 
Ile hotel si inaitwa Four point by Sheraton? New Africa si ilikua casino, nafikiri hawapo pale maana nmesikia wanakarabati pale wanaifungua mwezi wa3 princess casino au hukuona mule ndani kuko under construction mkuu?
Ndio, hotel ni Four Points na sasa casino itaitwa Africa Princess. Casino yao nyingine ni ile pale IT Plaza, kuna some changes i think wataweka clear baada ya ufunguzi
 
ooh Hawajakuita mkuu
 
ooh Hawajakuita mkuu
Waliniita kwa mara ya pili, nilivyoenda wakasema kuwa watapiga simu na nikiona kimya basi nimekosa. I think haikuwa bahati yangu, vigezo vyote ninavyo nadhani wameangalia mshahara aliyetaja offer ndogo wamemchukua.
 
Walikupigia simu ama kwa njia ya email?
Mie niliomba post ya slot attendant vipi hawa washafanyiwa interview?
 
Waliniita kwa mara ya pili, nilivyoenda wakasema kuwa watapiga simu na nikiona kimya basi nimekosa. I think haikuwa bahati yangu, vigezo vyote ninavyo nadhani wameangalia mshahara aliyetaja offer ndogo wamemchukua.
weeh hata hivyo umepambana.
nasikia wanaifungua march
 
Back
Top Bottom