Walioitwa interview Africa Princess Casino tujuane

Walioitwa interview Africa Princess Casino tujuane

Deleted_account

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2008
Posts
3,385
Reaction score
3,702
Hawa jamaa walitangaza nafasi kibao za kazi kada mbalimbali na wameanza kuita watu. Kama nilisikia vizuri walisema interview ni pale New Africa Hotel, wakati mi najua ofisi zao zipo IT Plaza, au casino ya New Africa ni ya kwao?
Nataka tu kujua uhusiano.

UPDATE:

Naona watu wanakuja na CV na Vyeti wanapewa form ya kujaza na wanasubiri interview leo leo, kama upo karibu unaweza kusogea kujaribu bahati yako.

Nafasi kibao kama Barman, waiter, cashier, etc mambo ya casino/hotel
 
Kama umeitwa mkuu wewe nenda tu.

Ishu ya venue haina mashiko kwenye interview, kwani wakifanyia hapo IT plaza ndio itakusaidia nini
 
Wewe unawapangia, wewe nenda ikichelewa usilaumu mtu.
 
Mbona hamjibu wakuu?? Nataka respond nijue km nimechelewa au naweza kuja muda huu?
 
Daaha jamani nilizipotezea hizi nafasi ningejua ningeomba, daah
 
Nimefika ila information ulizotoa hazikuwa complete... Leo ilikuwa inafanyika interview kwa watu ya IT TECHNICIANS na DEALERS... ndiomana nilikuwa nataka contact zako ili u specify.
Acha kudanganya umma, wewe umechelewa. Mimi nimefika mapema tu, imefanyika interview kwa kada mbalimbali kama Barman, Electricians, etc IT na dealers zilikuwa za mwisho na ndio uliwakuta hao.
Haya uliza kingine
 
Back
Top Bottom