Walioikimbilia CHADEMA waanza kuitenga


Sidhani kama hii nayo ni post ya kuamini, nonesence
 
Duh, mkuu mwenzetu hao watu uliwakusanya? Ilikuwaje? Mkuu acha blah blah mkuu!
 
Ujinga unaisha lakini upumbavu na usen.e huwa ni tabu kuisha

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Baada ya ile hali pale Bungeni - tumeona CCM wanatupeleka kusiko, tupo kama 300 tunataka kurudishs kadi za CCM na tufungue tawi CDM hapa mtaani
 
nanona hili jamaa linanichefua kwa hizo habar za migamba.sijui mijitu mingine hua inashirikisha mibox(mivichwa) kufikilia au ikiamka inaandika kile kinachokuja kichwani mwao
 

Just because ubongo wako umeamua kujitenga nawe haimaanishi kuwa waliojiunga na Chadema nao wameamua kujitenda na chama hicho. Ushauri wangu kwako ndugu yangu ni huu: seek medical help as soon as possible.
 
takataka hii ukamweleze baba yako na mama yako, shame upon you, una akili kama ya SHIBUDA NA NAPE, WOTE WANAOAMINI SERA ZA KIPUMBAVU ZA CCM NI LAANA KWA TAIFA, ONA RAIS WAO JK WAZUNGU WANAMUONA ZUZU KWA KUPEWA DEGREE FAKE,
 
Leo umekosa buku saba kwa hili povu akuna wa kulikubali jipange tena dah umekosa ata ela ya bundle
 

bange sembe za magamba, haya ndio madhara katika ufikiri.
 
Nahisi huku kwenye jamii forums kuna watu wana ID nyingi sana. Yawezekana mtu akaitwa Hamy D akawa na ID nyingine ya Mwiba na akawa na ID nyingine ya Mwigulu na akawa na nyingine ya Taswira. Sio vyema na ikiwezekana Management ya Jamii forums ilifanyie kazi ilo suala
 
 

Your signature tells it all
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…