bulumya londo
Senior Member
- Jun 23, 2013
- 184
- 14
nimbaya sana unapoambiwa kuazisha vulugu eti tu sillaa awe raiss huo ni upumbavu mkubwa. watanzania. sillaa atakuwa raiss kwakupigiwa kura nakushinda kama ambavyo ilivyokuwa kwa muheshimiwa kikwete!
nimbaya sana unapoambiwa kuazisha vulugu eti tu sillaa awe raiss huo ni upumbavu mkubwa. watanzania. sillaa atakuwa raiss kwakupigiwa kura nakushinda kama ambavyo ilivyokuwa kwa muheshimiwa kikwete!
nimbaya sana
unapoambiwa kuazisha vulugu eti tu sillaa awe raiss huo ni upumbavu
mkubwa. watanzania. sillaa atakuwa raiss kwakupigiwa kura nakushinda
kama ambavyo ilivyokuwa kwa muheshimiwa kikwete!
Code:[quote="Mwiba, post: 7329898"]Habari za uhakika kutoka vyanzo vyangu vya habari kutoka mikoani ,vimenibipu kuwa wale waTanzania walio wengi ambao walikuwa wakihamia kwenye Chama cha siasa cha Chadema wameanza kukisema na kukipuuza Chama hicho baada ya lile valangati lililotokea bungeni. hata kabla ya vulugu la bungeni wengi wa wanachama wa chama hicho walikuwa wanasusia mikutano na baadhi ya ofisi huwa hazifunguliwi kwa kuwa hakuna anaepita wala kuhudhuria mkutano ikiwa utaitishwa hali iliyopelekea Chama hicho kuanza kufifia. Baadhi ya wananchi wamesikika wakisema kuwa waliiona CDM kama mkombozi wao kwajinsi kinavyotangaza sera lakini kwa matendona mienendoya viongozi wao wameona yale yote ni danganya toto na sasa wanaelewa ni nani alie na nia ya kuwakomboa Watanzania toka kwenye makucha ya Sultani CCM. Ubovu wa CDM ambao nimbaya hata kushinda ngozi ya shetani ni kule kuwaeleza wananchi mambo mengi na ahadi nyingi zikiwepo kurudi mara ingine kuwasimulia mapya ,wananchi wamesema huwa hawarudi na hata wakirudi huwa hawana jipya,na baya zaidi ni kule kwa viongozi wa Chadema kujijali wao wenyewe kwa wenyewe na kwa maslahi yao,hawaonyeshi nia ya kumjali mwananchi wa kawaida. wananchi wengi wanaokumbwa na matatizo wakati , wa vurugu hizo zilitokana na kuwepo au kuhudhuria kwenye mikutano ya Chadema ,na kukumbana na vyombo vya dola kuwepokesi au kuswekwa lakapu,CDM huwa hawafuatilii wala kuwajulia na viongozi wao huwa hawawaoni wala kuwasogelea katika vituo ,labda pale tu kiongozi awe amekamatwa. Wananchi hao wamesema wamechoka kufanywa kama ngazi ya kupandia mtumbwi.[/QUOTE]
[]PHP:POLE Ndoto za mchana ni kwa wananyonya.We bado umo tu, wasalimie