Walioikimbilia CHADEMA waanza kuitenga

Walioikimbilia CHADEMA waanza kuitenga

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,760
Habari za uhakika kutoka vyanzo vyangu vya habari kutoka mikoani ,vimenibipu kuwa wale waTanzania walio wengi ambao walikuwa wakihamia kwenye Chama cha siasa cha Chadema wameanza kukisema na kukipuuza Chama hicho baada ya lile valangati lililotokea bungeni.

hata kabla ya vulugu la bungeni wengi wa wanachama wa chama hicho walikuwa wanasusia mikutano na baadhi ya ofisi huwa hazifunguliwi kwa kuwa hakuna anaepita wala kuhudhuria mkutano ikiwa utaitishwa hali iliyopelekea Chama hicho kuanza kufifia.

Baadhi ya wananchi wamesikika wakisema kuwa waliiona CDM kama mkombozi wao kwajinsi kinavyotangaza sera lakini kwa matendona mienendoya viongozi wao wameona yale yote ni danganya toto na sasa wanaelewa ni nani alie na nia ya kuwakomboa Watanzania toka kwenye makucha ya Sultani CCM.

Ubovu wa CDM ambao nimbaya hata kushinda ngozi ya shetani ni kule kuwaeleza wananchi mambo mengi na ahadi nyingi zikiwepo kurudi mara ingine kuwasimulia mapya ,wananchi wamesema huwa hawarudi na hata wakirudi huwa hawana jipya,na baya zaidi ni kule kwa viongozi wa Chadema kujijali wao wenyewe kwa wenyewe na kwa maslahi yao,hawaonyeshi nia ya kumjali mwananchi wa kawaida.

wananchi wengi wanaokumbwa na matatizo wakati , wa vurugu hizo zilitokana na kuwepo au kuhudhuria kwenye mikutano ya Chadema ,na kukumbana na vyombo vya dola kuwepokesi au kuswekwa lakapu,CDM huwa hawafuatilii wala kuwajulia na viongozi wao huwa hawawaoni wala kuwasogelea katika vituo ,labda pale tu kiongozi awe amekamatwa. Wananchi hao wamesema wamechoka kufanywa kama ngazi ya kupandia mtumbwi.
 
propoganda za mwaka 1995 dhidi ya nccr bado unazitegemea hadi leo karibu miaka 20 .loh.....ama kweli mmeishiwa namna hii????!!! Mbona kama ni kweli hukumwaga majina ??!!! we tulia tuli dawa ikuingie huna jinsi lazima utibiwe kwani maradhi yamekuzidi
 
Dah!!! Eti nawe una vyanzo vyako vya habari!!!! Haya kesho mapema pita Lumumba ukachukue mshiko wako baada ya kuanzisha uzi JF uliojaa pumba. Mamburula banaaaaa!!!! Dah!!!!

Habari za uhakika kutoka vyanzo vyangu vya habari kutoka mikoani ,vimenibipu kuwa wale waTanzania walio wengi ambao walikuwa wakihamia kwenye Chama cha siasa cha Chadema wameanza kukisema na kukipuuza Chama hicho baada ya lile valangati lililotokea bungeni.
 
Hii
bidhaa yako ya kichina hainunuliki. Labda kwa magamba ambao sifa yao
kubwa ni kujitoa ufahamu. Nyie jazaneni tu kwenye mitandao sisi
tunachanja mbuga na M4C yetu. RIP CCM.
 
Habari za uhakika kutoka vyanzo vyangu vya habari kutoka mikoani ,vimenibipu kuwa wale waTanzania walio wengi ambao walikuwa wakihamia kwenye Chama cha siasa cha Chadema wameanza kukisema na kukipuuza Chama hicho baada ya lile valangati lililotokea bungeni.

hata kabla ya vulugu la bungeni wengi wa wanachama wa chama hicho walikuwa wanasusia mikutano na baadhi ya ofisi huwa hazifunguliwi kwa kuwa hakuna anaepita wala kuhudhuria mkutano ikiwa utaitishwa hali iliyopelekea Chama hicho kuanza kufifia.

Baadhi ya wananchi wamesikika wakisema kuwa waliiona CDM kama mkombozi wao kwajinsi kinavyotangaza sera lakini kwa matendona mienendoya viongozi wao wameona yale yote ni danganya toto na sasa wanaelewa ni nani alie na nia ya kuwakomboa Watanzania toka kwenye makucha ya Sultani CCM.

Ubovu wa CDM ambao nimbaya hata kushinda ngozi ya shetani ni kule kuwaeleza wananchi mambo mengi na ahadi nyingi zikiwepo kurudi mara ingine kuwasimulia mapya ,wananchi wamesema huwa hawarudi na hata wakirudi huwa hawana jipya,na baya zaidi ni kule kwa viongozi wa Chadema kujijali wao wenyewe kwa wenyewe na kwa maslahi yao,hawaonyeshi nia ya kumjali mwananchi wa kawaida.

wananchi wengi wanaokumbwa na matatizo wakati , wa vurugu hizo zilitokana na kuwepo au kuhudhuria kwenye mikutano ya Chadema ,na kukumbana na vyombo vya dola kuwepokesi au kuswekwa lakapu,CDM huwa hawafuatilii wala kuwajulia na viongozi wao huwa hawawaoni wala kuwasogelea katika vituo ,labda pale tu kiongozi awe amekamatwa. Wananchi hao wamesema wamechoka kufanywa kama ngazi ya kupandia mtumbwi.

Sembe mbaya!umepata kete ngapi?
 
ImageUploadedByJamiiForums1379259804.061904.jpg
 
Sidhani kama unachosema ni kweli, chdm haiwezi kuchukiwa na wananchi, sababu ndo mtetezi wa wanyonge! Acha uongo huo bwana.
 
Dah!!! Eti nawe una vyanzo vyako vya habari!!!! Haya kesho mapema pita Lumumba ukachukue mshiko wako baada ya kuanzisha uzi JF uliojaa pumba. Mamburula banaaaaa!!!! Dah!!!!
Mhuni tu ww km kawaida yenu machadema
 
shikamoo Mzee Mwiba , japo sikufahamu ila unaonekana kama ni mtu wa zamani sana , kikongwe uliyepitwa na wakati , pole sana !
 
Mlifanikiwa wakati wa nccr lkn leo hii msijisumbue na post zenu, kila mtu anajitambua hakuna haja ya kumshikia mtu akili zake. Stupid mwiba and co.
 
chama pekee pendwa cha siasa hapa tanzania ni ccm na ndicho chama cha kuwatetea wanyonge na kuwaletea maendeleo

Aksante sana mheshimiwa, Maneno kweli hayavunji mfupa. Laiti ungelijua wakati huu si ule wa kuwaambia watu, NITA,,,,, NITA.... Hatupo tena huko Mheshimiwa.
Labda mtakapoanza kunusisha watu hiyo sembe bure ndio mtawapata mateja.za kijani na kofia yake na leso, watu wamekinai, mmegawa pilau kwa masinia kama arobaini ya ccm, watu wamewachoka, Mmegawa baisikili, mkaja na pikipiki sasa naona mtagawa na dose moja ya sembe kwa mateja yenu.
Mtz leo kafunguka, ukileta flana ya kijani atachukua lakini kura yake hakupi. Mnapopita kununua shahada ni wao wanawatonya CDM, 2015 sijui mtapita wapi. Poleni magambas. POLENI SAAANA TU,
 
Siku zote nitasimamia maslahi ya Tanzania na Watanzania ukilinganisha na wewe mchumia tumbo ufisadi kwanza. Una akili finyu sana ndiyo sababu umeamua kuwa msaliti wa Watanzania kwa kuweka mbele uroho wako.

Mhuni tu ww km kawaida yenu machadema
 
kajipange upya
ulichoandika hata mtoto wa darasa la pili atakucheka
vurugu za bungeni zimesababishwa na Ndungai ndio maana vyama vyote upinzani waliungana kutoa kauli ya kulaani umangimzea wa Ngungai.
tuondolee ukilaza wako hapa
 
...kwakuwa umekiri ni vyanzo vyako ambavyo vinaweza kuwa mkeo,nyumba ndogo,shangazi. Sinashaka watakupa taarifa za kigambagamba. So matokeo ya vyanzo vyako kajadili na mkeo nyumbani,sio kuleta chenga jamvini...
 
Back
Top Bottom