jiwe la maji JF-Expert Member Joined May 17, 2014 Posts 1,062 Reaction score 706 Oct 4, 2017 #41 wegman said: Jeshi na siasa wapi na wapi? Au ukishakuwa mstafu wa jeshi unaeuhusiwa kufanya siasa?? Viapo vya wanajeshi vinasemaje kuhusu mwanajeshi kuwa na chama??? Click to expand... Kuwa ccm ni ruksa
wegman said: Jeshi na siasa wapi na wapi? Au ukishakuwa mstafu wa jeshi unaeuhusiwa kufanya siasa?? Viapo vya wanajeshi vinasemaje kuhusu mwanajeshi kuwa na chama??? Click to expand... Kuwa ccm ni ruksa
mafinyofinyo JF-Expert Member Joined Nov 29, 2012 Posts 4,404 Reaction score 3,277 Oct 4, 2017 #42 Duuh! Wamevunja na msingi kabisa. Kweli vijana wana hasira
mafinyofinyo JF-Expert Member Joined Nov 29, 2012 Posts 4,404 Reaction score 3,277 Oct 4, 2017 #43 mjumbe wa bwana said: huwa sijawai juta zaliwa kaskazini ata siku moja[/QUOTE Acha kabisa! Kaskazini tunajielewa sana Click to expand...
mjumbe wa bwana said: huwa sijawai juta zaliwa kaskazini ata siku moja[/QUOTE Acha kabisa! Kaskazini tunajielewa sana Click to expand...
mafinyofinyo JF-Expert Member Joined Nov 29, 2012 Posts 4,404 Reaction score 3,277 Oct 4, 2017 #44 Kaskazini tunajielewa sana!
lembu JF-Expert Member Joined Dec 31, 2009 Posts 19,756 Reaction score 26,077 Oct 4, 2017 #45 Nao wanasubiri kununuliwa!!