Waliohamia CCM, Warudi CHADEMA....

Daaaah nawaonea wivu kanda ya kaskazini aseee, nataka na sisi kanda ya Kusini tungekua na hiyo misimamo daaah
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Watanzania wengi hawajui wanachokitaka. Tunazunguka kwa miaka 50 sasa wakati safari yenyewe ni miaka 20 tu.

Vv
 
Sasa kwanini wavunje c wangebadilisha Rangi tu na maandishi ya CDM
 
Kimenuka....

CCM mkae mkijua Kanda ya Kaskazini ni ngumu.....Wenyewe wanakwambia tunakula CCM tunalala Chadema....

Nikikumbuka zile pikipiki 400 za Arusha daaah
Kwa hiyo wakikalia ka eneo kamoja tena ambako hakafikii hata nusu ya wakazi wa Kanda ya Ziwa katawapa nchi?
 
Jeshi na siasa wapi na wapi? Au ukishakuwa mstafu wa jeshi unaeuhusiwa kufanya siasa?? Viapo vya wanajeshi vinasemaje kuhusu mwanajeshi kuwa na chama???
 
Kwa hiyo wamesusa? walitaka na wao wapewe hela? waache wasuse. wakisusa wenzao wala.
 
CHADEMA imewapokea hao wasaliti????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…