CHA The GREAT
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 651
- 855
umekuja kwa ghafla sana tulia,tupe habari kamiliKwa hisani ya Malisa GJ.
Tarehe 14/07/2017 CCM ilitangaza kuwa baadhi ya wanachama wa Chadema mtaa wa KDC, Moshi wamejiunga na CCM. Wanachama hao walipokelewa na aliyekuwa msemaji wa JWTZ Kanali Ngemela Lubinga, ambaye kwa sasa ni Katibu wa siasa na uhusiano wa kimataifa wa CCM, na kujengewa shina mtaani hapo. Vijana hao baada ya kusikia madiwani wa Chadema Arumeru walinunuliwa kwa rushwa, wameamua kuvunja msingi huo uliojengwa kwa ajili yao na kutangaza kurudi Chadema.!
View attachment 601042
Kwa hisani ya Malisa GJ.

Sasa hata picha umeshindwa kuelewa...umekuja kwa ghafla sana tulia,tupe habari kamili
Mabadilikooooooooooo?Kwa hisani ya Malisa GJ.
Tarehe 14/07/2017 CCM ilitangaza kuwa baadhi ya wanachama wa Chadema mtaa wa KDC, Moshi wamejiunga na CCM. Wanachama hao walipokelewa na aliyekuwa msemaji wa JWTZ Kanali Ngemela Lubinga, ambaye kwa sasa ni Katibu wa siasa na uhusiano wa kimataifa wa CCM, na kujengewa shina mtaani hapo. Vijana hao baada ya kusikia madiwani wa Chadema Arumeru walinunuliwa kwa rushwa, wameamua kuvunja msingi huo uliojengwa kwa ajili yao na kutangaza kurudi Chadema.!
View attachment 601042
Usi-panic...hiyo ndio kanda ya Kaskazini banaAkili zao kama za life cycle ya inzi [emoji38][emoji38]
Kipi hujaelewa√umekuja kwa ghafla sana tulia,tupe habari kamili
Ww Vp! Kwani Wameombwa Kurudi? Wao Wameona Mizinguo Huko Kwny Nzi Wa Kijani Wameamua Kurudi Nymbn. Hata Wale Madiwan 10 Walionunuliwa Watarudi Tu. Kule Wameenda Kula Hela Za Wajinga Then Wanawaachia Vumbi!! Kaskazin Wapo Very Smart Kichwani Achana Nao Kabisa.Si mlisema Arusha hata mkiweka Jiwe chadema watalichagua, sasa hizi drama zote za nini? Kwa nini msiwaache waende?