Wanaohamia huko ni kama wanaobadilisha hali ya hewa tu mkubwa siku ya siku hurudi nyumbani si unajua nyumbani ni nyumbani? na wanasiasa hata leo hii wewe ukiwa mwanasiasa utaangalia upande wa mkate ulio na siagi! ila kwa kuwa u r not inn utajitutumua kukataa huo ukweli.....