Waliohamia ACT warejea CHADEMA Singida

Waliohamia ACT warejea CHADEMA Singida

Yusuph Jr

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
217
Reaction score
49
Waliopata kuwa viongozi wa CHADEMA wilayani iramba mkoa wa singida na kuhamia ACT,wameomba kurejea Chadema.Taarifa za uhakika kutoka wa viongozi waandamizi wa chadema wilaya na mkoa zimethibitisha habari hii kuwa ni kweli.

Viongozi waliotajwa kurejea chadema ni aliyekuwa mwenyekiti wa chadema kata ya ndago bwana Salehe Maganga, aliyekuwa katibu mwenezi kata ya urugu Hamisi Mtoa na aliyepata kuwa mwenyekiti wa chadema wilaya iramba Hasan Sembe.

Walipohojiwa walidai sababu za kuomba kurejea Chadema ni pale walipogundua kuwa ACT sio chama cha upinzani ila ni mawakala wa Ccm,na wanasema waliahidiwa kupewa pesa na Kitila Mkumbo ili wahame Chadema lakini kawatapeli. Wamedai Chadema ndio chama chenye kubeba matumaini ya watanzania.SOURCE viongozi wa chadema singida.
 
Waliopata kuwa viongozi wa CHADEMA wilayani iramba mkoa wa singida na kuhamia ACT,wameomba kurejea Chadema.Taarifa za uhakika kutoka wa viongozi waandamizi wa chadema wilaya na mkoa zimethibitisha habari hii kuwa ni kweli.Viongozi waliotajwa kurejea chadema ni aliyekuwa mwenyekiti wa chadema kata ya ndago bwana Salehe Maganga,aliyekuwa katibu mwenezi kata ya urugu Hamisi Mtoa na aliyepata kuwa mwenyekiti wa chadema wilaya iramba Hasan Sembe.Walipohojiwa walidai sababu za kuomba kurejea Chadema ni pale walipogundua kuwa ACT sio chama cha upinzani ila ni mawakala wa Ccm,na wanasema waliahidiwa kupewa pesa na Kitila Mkumbo ili wahame Chadema lakini kawatapeli.Wamedai Chadema ndio chama chenye kubeba matumaini ya watanzania.SOURCE viongozi wa chadema singida.

Watarudi Wote Maana Act ni wakala wa Ccm Nashukuru Mungu watanzania wamewagundua Mapema sana wana Movie Nyingi sana hawa watu
 
Duh aiseee naona kila anaetoka anarudi fasta sana, kuna moto gani huko nje? Sio waliokwenda CCM (mwampamba na yule demu Shonza) au walioenda Alliance for Cowards and Traitors (ACT)
 
Fungu la kuendesha operation limekata mapemaaa....
 
Wakirudi chamani wawe na uangalizi walau kwa muda flani..sabbu hilo liroho la kuhamahama bado linawanyemelea..
 
Mwisho wa siku atabakia Kitila Mkumbo peke yake kwenye hicho chama.
Ova
 
Wawe wanachama wa kawaida kwa miaka mitano...na wapimwe kwa matendo baada ya hiyo miaka ndipo wapewe UONGOZI.
 
Waliopata kuwa viongozi wa CHADEMA wilayani iramba mkoa wa singida na kuhamia ACT,wameomba kurejea Chadema.Taarifa za uhakika kutoka wa viongozi waandamizi wa chadema wilaya na mkoa zimethibitisha habari hii kuwa ni kweli.Viongozi waliotajwa kurejea chadema ni aliyekuwa mwenyekiti wa chadema kata ya ndago bwana Salehe Maganga,aliyekuwa katibu mwenezi kata ya urugu Hamisi Mtoa na aliyepata kuwa mwenyekiti wa chadema wilaya iramba Hasan Sembe.Walipohojiwa walidai sababu za kuomba kurejea Chadema ni pale walipogundua kuwa ACT sio chama cha upinzani ila ni mawakala wa Ccm,na wanasema waliahidiwa kupewa pesa na Kitila Mkumbo ili wahame Chadema lakini kawatapeli.Wamedai Chadema ndio chama chenye kubeba matumaini ya watanzania.SOURCE viongozi wa chadema singida.
Ni vizuri kama wamejitambua
 
Taratibu mkuu Gagnija hawa ni binadamu wenzio! tofauti za kisiasa zisitufikishe huko!
Hapana, si tofauti za kisiasa. Hawa wanasema wanarudi CDM baada ya kugundua kuwa ACT si chama cha upinzani. Kasoro zilizowatoa CDM mwanzoni kama walivyodai hazipo kwa sasa? Tuki-entertain hawa mbwa na njaa zao hatutafika huko tutakapo kufika.
 
Wote wezi tu , nadhani kisima chao toka CCM kimeanza kukauka hawana tena fedha ya kuhonga
CCM washagundua kwamba majukumu waliyotoa hayatekelezeki. Unafikiri wataendelea kutoa pesa kwa kazi gani tena!

Mdee alivyowaambia muziki wa CDM ni mzito hakueleweka, lakini taratibu CCM na vijibwa vyao wote wameanza kuelewa. Tutafika tu!
 
Back
Top Bottom