Waliofutiwa Mitihani PSLE Kurudia Desemba 21 na 22

Waliofutiwa Mitihani PSLE Kurudia Desemba 21 na 22

At Calvary

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
4,566
Reaction score
3,642
Baraza la Mitihani la Tanzania limeamua kuwapa fursa watahiniwa wa Darasa Saba 2, 194 waliofutiwa matokeo kufanya Mtihani wa Marudio. Mtihani wa Marudio utafanyika tarehe 21 na 22 Disemba, 2022.
 
Back
Top Bottom