WALIOFAULU FOUNDATION OPEN WATAWEZA KUDAHILIWA VYUO VINGINE?

WALIOFAULU FOUNDATION OPEN WATAWEZA KUDAHILIWA VYUO VINGINE?

Mkwawa mnyalukoro

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
239
Reaction score
169
Wajuz wa mambo naomba ufafanuz kwa hili.

Mwaka Jana wakati kozi hii inaanzishwa muongozo ulidai kuwa mtu ukifaulu hii koz kwa GPA 3.0 unaweza kusoma Chuo chochote sasa naona TCU GUIDE BOOK inaniletea wenge kuhusu koz hii

Jaman kama kuna watu wa TCU walitolee ufafanuz suala hili
 
Wewe jana tu uliambiwa hiyo utaruhusiwa kusoma bachelor degree huko huko open university ukapinga tena kwa jeuri.

Mara leo hii unarudi kuuliza mambo uliyotolea majibu mwenyewe less than 48hrs??!!
 
Wewe jana tu uliambiwa hiyo utaruhusiwa kusoma bachelor degree huko huko open university ukapinga tena kwa jeuri.

Mara leo hii unarudi kuuliza mambo uliyotolea majibu mwenyewe less than 48hrs??!!


ha ha ha ha
 
TCU
Screenshot_20190714-205646.jpeg
 
Back
Top Bottom