Waliofanya Usaili wa Assistant Accountant UDOM 9/3/2014

TUTEER

Senior Member
Joined
Nov 6, 2013
Posts
161
Reaction score
33
Jamani, mwenzenu kiukweli paper imenikamata mno hadi nikajuta kwanini nimetoa pesa yangu ya nauli, gesti na matumizi mengine kwenda kufanya mtihani mgumu kiasi kile ambao sijawahi ufanya katika usaili wowote, binafsi nimejuta na nazidi kuona kupata kazi ni kazi mno!

Nawasilisha wadau!
 
Uwe unasoma alama za nyakati kijana, siyo kukurupuka tu. Tatizo hesabu ni tatizo kwa wengi, nakushauri kama unakumbuka probability uwe unafanya kabla ya kwenda kwenye interview. Ahsante kwa kuelewa
 
pole mkuu amka jipukute vumbi tuendelee mbele ,kazi zipo na zitapatikana tu ,ni suala la muda tu.
 
kila alieenda udom analalamika aisee. ata wale wa system admin hivi hvi. tulieni mgonje tokeo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…