Waliofanya Application Afya; Ajira zinatoka lini?

Waliofanya Application Afya; Ajira zinatoka lini?

Joined
Sep 4, 2016
Posts
36
Reaction score
21
Serikali imekuwa na kimya kingi au ilikuwa geresha tu kuhusu ajira.... Kwanini serikali hii inacheza na vichwa vya watanzania, hivi ninyi watanzania hamna uchungu ninyi kwanini tusiandamane tukamuonesha huyu mse** kuwa sisi ndo tuliomuajiri kwanini atuzoee kiasi hiki... Pumbafu kabisa
 
Tatizo private hawataki kuajiri wanasema serikali ikitoa tutawakimbia inamaana serikali imebeba hatma ya maisha ya watu halafu wamekalisha tu WANAHARIBU MAISHA YA WATU TU.. na kwa system walizoweka watu hawatoweza kwenda kusoma mpka wawe kwenye system upuuzi gani huu wa hii nchi
 
Kwa lugha hii ya mtumishi mtarajiwa wa afya!!!
 
Nilizani ni peke angu niliechoka kusubir haya majibu ya ajira za afya yaani nina uchungu sna sna sna sulubu niipatayo huku private si ya hata kuhadithika
 
Tatizo private hawataki kuajiri wanasema serikali ikitoa tutawakimbia inamaana serikali imebeba hatma ya maisha ya watu halafu wamekalisha tu WANAHARIBU MAISHA YA WATU TU.. na kwa system walizoweka watu hawatoweza kwenda kusoma mpka wawe kwenye system upuuzi gani huu wa hii nchi
Yap mkuu ndo ivo yan ,,
Tuko pamoja ,,umenigusa
 
Back
Top Bottom