Waliofanana na mama zao, hupendana sana.

Mtumeeeeeeee! Huuuuuuuh!!!!!! Walau nimefanana na Bibi yangu (R.I.P)!!!!!!!!!
 
mie ni baba yangu kuanzia sura hadi akili, nijipe pole weee

na wanaofanana na baba wote?
 
Kuna utafit umefanywa na wanadunia flan kuwa, wanandoa ama waliokwenye uhusiano wa kimapenz, ambao wamefanana kimaumbile hasa sura na mama zao, zaid ya 98% huwa wanapendana sana na mahusiano yao huwa hayana shida za hapa na pale. Na ni kinyume chake kwa wale waliofanana na baba zao. Kwa wale ambao mmoja kafanana na baba na mwingne mama mambo yao huwa 50/50. Wewe upo kundi gan, la kwanza, la Pil, la tatu ama kwenye ile 2% inayobak pale kwenye 98%??! Kwa kifup, umefanana na nan, Mpenz/mwenza wako amefanana na nan kwao, na uhusiano wenu upo vip???
Mi nipo katikati nimefanana na Mama na Baba na Mpenzi wangu hivyo hivyo apo inakuwaje???
 
mi na mke wangu wote tumefanana na mama zetu ila tunatwangana makonde kila siku.
i guess tupo kwenye hiyo 2 percent
 
Ukweli nimefanana na mama yangu, na mpenzi niliyenaye yuko both,,hapo inakuaje?
 
Kuna utafit umefanywa na wanadunia flan kuwa, wanandoa ama waliokwenye uhusiano wa kimapenz, ambao wamefanana kimaumbile hasa sura na mama zao, zaid ya 98% huwa wanapendana sana na mahusiano yao huwa hayana shida za hapa na pale. Na ni kinyume chake kwa wale waliofanana na baba zao. Kwa wale ambao mmoja kafanana na baba na mwingne mama mambo yao huwa 50/50. Wewe upo kundi gan, la kwanza, la Pil, la tatu ama kwenye ile 2% inayobak pale kwenye 98%??! Kwa kifup, umefanana na nan, Mpenz/mwenza wako amefanana na nan kwao, na uhusiano wenu upo vip???

Huo utafiti nakubaliana nao mia kwa mia! Sasa nnaelewa kwa nini mke wangu ananipa taabu kwa vile anafanana na baba yake copyright!
 
mi nimefanana na hausigeli wangu

Back
Top Bottom