Dunderheads...chukueni jukumu ya mungu muwaue tuu kavile mumeua waandamaji ila kupita kimahakama tayiri mumeona aibu jinsi Lissu amewagaragaza hadi mukaomba mufanyie gizani ...maswine nyieKabisa,twaha mwaipaya,heche,lisu
Unadhani yametoka wapi?..wangesusia uchaguzi na kukaa kimya haya yangetokea?..ooh tutazuwia uchaguzi, kufanya vurugu siku ya uchaguzi siyo kuzuwia uchaguzi?..hao wangese wabondwe haswaWw unaamini ni no reform no election ndiyo imeleta yote haya?
Ukishaona nchi watu wanavunja maduka na kuiba mali, ujue Kuna chuki kubwa inayotokana na gap kati ya walionacho na wasio nacho.
Kwa bahati mbaya sana NO ONE CARE.
Maandamano kwenu ni kufanya uhalifu halafu mnakuja kujiliza kipumbavu. Unapoenda kupambana na askari mwenye bunduki unategemea nini?Wapumbavu kama nyie ndo mmesababisha mpaka tumefika hapa badala ya kushughulikia ufisadi,utekaji,matumizi mabaya ya rasilimali,maisha mabovu,siasa chafu vitu ambavyo vimetufikisha hapa mnawauwa watu.hii damu mtalipia nyie na vizazi vyenu
Imeshadhibitika na hawajafanya lolote... na ikithibitika mtu alivuka mipaka yetu kuja kutuvurugia amani, basi hata jivu lake lisirudi kwao!
Hakuna aliyevuka mpaka, wauaji ni nyie wenyewe, to be exact ni police na vikundi vya Siri vilivyopewa silaha na Samia na genge lake , mlichokianzisha mtajuta... na ikithibitika mtu alivuka mipaka yetu kuja kutuvurugia amani, basi hata jivu lake lisirudi kwao!
Yaani wasusie uchaguzi kwa kukaa kimya?Unadhani yametoka wapi?..wangesusia uchaguzi na kukaa kimya haya yangetokea?..ooh tutazuwia uchaguzi, kufanya vurugu siku ya uchaguzi siyo kuzuwia uchaguzi?..hao wangese wabondwe haswa
Wa kwana huyo mama samia sliyetuma askari wakauwe watuWatu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa.
Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia
alikosea sana kua mkarimu na kuanza maridhiano, alitakiwa aendelee alipoishia magu,kuwa la wawayak
ushawahi kujiuliza ni nani alietufikisha hapa mpka inafika hatua ya watu kuandamana ..? mtanzania ni rahisi kutoka na kuandaman tu..?
Hakuna aliyepambana na Askari.ila wenyewe walikuwa wanapiga watu ovyoovyo.Ila safari ijayo hali itakuwa mbaya zaidi watu watapambana na Askari na machawa kama kama kiini cha yote haya kama ufisadi,utekaji,mauaji matumizi mabaya ya mamlaka Nk hayatashughulikiwa.wewe kama unaacess waambie washughulike na kiini hasa cha haya mambo kama wakiendekeza ushetani yajayo hayakuwa mabaya zaidi.Maandamano kwenu ni kufanya uhalifu halafu mnakuja kujiliza kipumbavu. Unapoenda kupambana na askari mwenye bunduki unategemea nini?
Hayo ya kupuuza ndiyo yaliyoliteta taifa hapaVilio vya hatumtaki mama,kila rais akiingia kundi likasema hatumtaki basi rais atoke siyo!?
Hakuna mtu kajiliza, mlichofanya hamkuanza juzi kwenye maandamano, mmeteka na mmeua muda mrefu sana, msichojua ni mmeanzisha biashara kubwa sana ya silaha na bei ya vichwa vyenu na mapolisiMaandamano kwenu ni kufanya uhalifu halafu mnakuja kujiliza kipumbavu. Unapoenda kupambana na askari mwenye bunduki unategemea nini?
Umeulizwa useme usitetee ujinga, wanaotekwa ni binadamu na sio wanyama kwamba hawana hadhi ya kuishi. Sheria inasema kama mtu amefanya kosa amepelekwe mahakamani.We mbona hujatekwa wala kupotea?
Nikikuta unachoma shell yangu au mali yangu yoyote nitakuua hapo hapo.Mtu anayechoma na kuharibu mali za watu binafsi na mali za umma kifo ni haki yake.Halafu hayo maswali yako ya KIPUMBAVU utaenda kumuuliza bibi yako kaburini.So sheli ina thamani kuliko uhai wa mtu?
Una miliki vituo vya mwendokasi vingapi? (tutalipa kodi vitajengwa) Petrol station ngapi unazo? (wale wana bima za biashara sijui kwanini unawawaza kiasi hiko) Nani amekatwa kidole sababu alipiga kura?Nani kachoma mwendokasi,sheli,maduka,ua askari,kata vidole vyenye wino vya waliopiga kura?
We mkenya tuliza kinyeo kwenuDunderheads...chukueni jukumu ya mungu muwaue tuu kavile mumeua waandamaji ila kupita kimahakama tayiri mumeona aibu jinsi Lissu amewagaragaza hadi mukaomba mufanyie gizani ...maswine nyie
Jinga hilo. Kuna watu asubuhi wametiki mchana wameuwawa.Una miliki vituo vya mwendokasi vingapi? (tutalipa kodi vitajengwa) Petrol station ngapi unazo? (wale wana bima za biashara sijui kwanini unawawaza kiasi hiko) Nani amekatwa kidole sababu alipiga kura?
Lakini tumeshuhudia mamia ya miili ya vijana (i hope tutalipa kodi kuwarudishia uhai si ndio?)
Jeshi la polisi halina mabomu ya machozi? Kwanini wamerekodiwa vichochorini ambako hakuna watu wakipiga risasi za moto hovyo hovyo. Walikuwa na lengo hizo risasi zimpate nani?
FYI, Waliouawa wengi sio waandamaji, hopefully kuna siku mtajibu hili.
Kuna utaratibu wa kubadili utawala,lowasa alipata kura 3m+,so hao 3m+ nao wangeanza hatumtaki magu na hivyo magu angetakiwa kutoka!?..mna akili nyie!?..kuna rais hutakiwa na raia wote?Hayo ya kupuuza ndiyo yaliyoliteta taifa hapa