gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,675
- 18,260
- Thread starter
-
- #81
Ibadilishe weweWapumbavu kama nyie ndo mmesababisha mpaka tumefika hapa badala ya kushughulikia ufisadi,utekaji,matumizi mabaya ya rasilimali,maisha mabovu,siasa chafu vitu ambavyo vimetufikisha hapa mnawauwa watu.hii damu mtalipia nyie na vizazi vyenu
Waliochochea ni pamoja na waliopuuza vilio vya wananchi wao,waanze wao halafu wafuate wengine.Watu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa.
Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia
Mtalipia Samia atapelekwa the Hague evidence ya video ipo kila mahali hatoboi.mbaya zaidi walikuwa wanapita hadi manyumbani kuua ndugu zetu.Ibadilishe wewe
Vilio vya hatumtaki mama,kila rais akiingia kundi likasema hatumtaki basi rais atoke siyo!?Waliochochea ni pamoja na waliopuuza vilio vya wananchi wao,waanze wao halafu wafuate wengine.
Kila la heri safari ya the HagueMtalipia Samia atapelekwa the Hague evidence ya video ipo kila mahali hatoboi.mbaya zaidi walikuwa wanapita hadi manyumbani kuua ndugu zetu.
Kuna muda kukaa kimya ni akili, your display total foolishness,na uchawa hakuna anayependa Mavita we all know the bad side yake ,Dada kaaa Fanya analysis vizuri ,wapi tumedondokea na tunatokaje Kama taifa,try to make scape goat sio solutions.Ibadilishe wewe
Andika kiswahiliKuna muda kukaa kimya ni akili, your display total foolishness,na uchawa hakuna anayependa Mavita we all know the bad side yake ,Dada kaaa Fanya analysis vizuri ,wapi tumedondokea na tunatokaje Kama taifa,try to make scape goat sio solutions.
Hakuna anayependa haya yatokee wanaoumia still bado ni 90 percentage ya tabaka la chini,sio sofa Kwa sasa kushabikia kilichotekea nani tumkamate tumpige rungu ni sifa Kwa sasa kujua root cause analysis then to move forward.
Be logical,be objective.
Wamekubaka kwa kukulawiti?Mange, Maria na Sativa wafunguliwe kesi.
mutawafunga wataibuka wengine maelfu kwa maelfu. wakati hayo yanaendelea walikuwa gerezani huko, S asa hivi ni kutafuta namna ya kuponya taifa badala ya kutafuta sababuKabisa,twaha mwaipaya,heche,lisu
Watu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa.
Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia
Sasa Hawa wanahusikaje? wakati wote wako ndani haoheche,lisu
Hebu lete comment moja uliyowahikukemea utekaji na upoteaji wa watu.Nyi wakosa adabu mtaendelea kuoneshwa serikali ni nini, nadhani mmeijua sasa..unahamasishwa na mdangaji yuko marekani,eti jeshi lipo na wananchi!
Bila no reforms no election,tukiwashe pasikalike..haya yasingetokeaSasa Hawa wanahusikaje? wakati wote wako ndani hao
Watu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa.
Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia
We mbona hujatekwa wala kupotea?H
Hebu lete comment moja uliyowahikukemea utekaji na upoteaji wa watu.
Nani kachoma mwendokasi,sheli,maduka,ua askari,kata vidole vyenye wino vya waliopiga kura?Kwa hiyo baada ya hao wanaharakati kuchochea maandamano, baada ya hapo watu wakafa kwa sababu tu ya kuandamana?
Kwamba vyeti vyao vya vifo sehemu ya sababu ya kifo itaandikwa "Kaandamana"
Ww unaamini ni no reform no election ndiyo imeleta yote haya?Bila no reforms no election,tukiwashe pasikalike..haya yasingetokea
Kukaa kwenye keyboard+( Keyboard warriors)Andika kiswahili