Waliochochea vurugu washughulikiwe

Waliochochea vurugu washughulikiwe

gallow bird

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2024
Posts
12,958
Reaction score
15,892
Watu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa.

Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia
 
Watu wameuawa, biashara,makazi, miundombinu imechomwa,maisha yametatizwa,nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa
Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia
Litajirudia na safari wale vijana hawataenda mikono mitupu
 
Kuna mawili kama sio baba yako ni mama yako walibakana wala hawakukubaliana wote wawili wakapata mwamba ww hapo
Nyi wakosa adabu mtaendelea kuoneshwa serikali ni nini, nadhani mmeijua sasa..unahamasishwa na mdangaji yuko marekani,eti jeshi lipo na wananchi!
 
Watu wameuawa, biashara,makazi, miundombinu imechomwa,maisha yametatizwa,nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa
Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia
Walioua wapandishwe vyeo na kupewa nishani za heshima sio?
 
Nadhani hamkutegemea kama wataandamana.
Kinachokuja ni zaidi ya hapo.
Dola ilijua, ndiyo maana palikua na movement ya vyombo vya usalama,na wali-note raia nchi jirani wakiingia, ndiyo maana JF ilifungiwa, viongozi chadema walitiwa korokoroni,they knew,wakaandaa na strategy ya kukabili,mama akajiandikisha Dodoma
 
Watu wameuawa, biashara,makazi, miundombinu imechomwa,maisha yametatizwa,nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa
Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia
Na wanaoteka na kuua watu wanashughilikiwa lini?
 
Kwenye hii miaka mitano Mama asiwachekee hawa wahuni. Iwe bendera chuma mlingoti chuma.. alikosea sana kuanza utawala wake kwa kuwabembeleza kupita 4R zake. Magufuli aliwajua hawa wachumia tumbo ndo maana aliwapelekea moto.
 
Back
Top Bottom