mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,334
- 12,466
- Thread starter
- #21
Kayoko Gani??Na waliochangia kufanikisha kushika nafasi ya pili ni
Kayoko
Sally
KARIA
Kasongo
Mguto
TATU malogo
Kamati ya saa 72
Otherwise ilikua iwe nafasi ya 5
Kayoko Gani??Na waliochangia kufanikisha kushika nafasi ya pili ni
Kayoko
Sally
KARIA
Kasongo
Mguto
TATU malogo
Kamati ya saa 72
Otherwise ilikua iwe nafasi ya 5
Una mambo ya kiswahili. Mpira ni mchezo wa makosa. Na bila kosa hakuna kushinda au kushindwa.1.Camara ( vs coastal union,Vs Yanga,Vs Azam)
2.Kijiri( vs Yanga)
3.Chasambi (vs Fonten gate)
4. che Malone( vs Azam)
Ati.??1.Camara ( vs coastal union,Vs Yanga,Vs Azam)
2.Kijiri( vs Yanga)
3.Chasambi (vs Fonten gate)
4. che Malone( vs Azam)
Wafukuzwe tu dogo kwanza hana mwelekeo wa kuwa mchezaji wa maana wamrudishe Mtibwa Sugar tu akale miwaKufukuzwa sio kosa ila waambiwe yeye na Camara makosa Yao ndio yameigharimu timu
Aliyechangia ni Yanga kawashenyeta mara mbili hao wengine mnawasingizia tu.1.Camara ( vs coastal union,Vs Yanga,Vs Azam)
2.Kijiri( vs Yanga)
3.Chasambi (vs Fonten gate)
4. che Malone( vs Azam)
Kwenye timu hakuna kitu kama hicho, unless kama hujui maana ya "timu" nitakuelewa.Hapo nimeainisha major individual mistakes mifano ya chasambi dhidi ya Fauntan gate linaweza kuwa kosa la timu?? Au magoli aliyofungwa Camara dhidi ya coastal si uzembe binafsi?
Mangungu vs Yanga1.Camara ( vs coastal union,Vs Yanga,Vs Azam)
2.Kijiri( vs Yanga)
3.Chasambi (vs Fonten gate)
4. che Malone( vs Azam)
Tarehe 8 March mlihairisha sababu ya kumkosa Kamara.March 8 timu ilikuwa timamu na Yanga ilikuwa down ule upumbavu walifanya viongozi umewatokea puani
Wafukuzeni muwe mabingwa.1.Camara ( vs coastal union,Vs Yanga,Vs Azam)
2.Kijiri( vs Yanga)
3.Chasambi (vs Fonten gate)
4. che Malone( vs Azam)