Waliochangia Simba kukosa ubingwa msimu huu

Kushindwa kuchukua kombe msimu huu kwa Simba ni kosa kubwa sana maana msimu ujao yanga itakuwa Bora sana kuliko hii
Uwezekano wa kuwa na unbeaten ligi nzima ni mkubwa
lakini wataishia makundi sio
 
lakini wataishia makundi sio
Mwakani tunaitafuta top four pale juu endelea kufatilia hadi 2028 yanga anacheza final
Eng hersi alipoenda kujifunza kule US kwenye world cup ya vilabu Simba walikuwa wanaprint barua ya wizara ya michezo ya Kutumia uwanja kwa ajili ya mazoezi trh 14
 
mpira wa yanga ni wakienyeji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom