Waliochaguliwa udom kupitia nacte

Waliochaguliwa udom kupitia nacte

Wamamoyo1

Member
Joined
Apr 21, 2014
Posts
10
Reaction score
0
:a s 41: nimepewa taarifa na moja ya wahusika udom kuwa majina yalichelewa kutumwa chuoni, so bado wanayfanyia kazi. Hivyo amesema kuwa wiki hii yatakuwa hewani.
But nacte ni wazembe sana sijui nini kimesababisha wachelewe kutuma majina
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Na wale wa Tcu ambao ni wa 2nd round nao majina yao yalichelewa pelekwa au?
 
:a s 41: nimepewa taarifa na moja ya wahusika udom kuwa majina yalichelewa kutumwa chuoni, so bado wanayfanyia kazi. Hivyo amesema kuwa wiki hii yatakuwa hewani.
But nacte ni wazembe sana sijui nini kimesababisha wachelewe kutuma majina
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

jarbu kumuuliza na wa 2nd round kama hutojali mana imekua kmya sana ambao walitumia TCU
 
ivi wadau mbona nacte na vyuo vikuu naona kama hawajapanga mambo yao sawa?, kwa mfano unachaguliwa chuo husika halafu chuoni wanakukataa huoni kama ni kumpotezea muda mwanafunzi?yaan badala ya mwanafunzi kujiandaa na ada ya shule anaanza kufuatilia chuo kingine honestly sio kama.wana sytem nzuri , wanatakiwa kumallocate mwanafunzi sehemu anayoenda kusoma wakiwa na huo uhakika
 
Bado nasubiri confirmation toka udom...hivi nitapata kweliii mbona sioni any update...nacte hii inakuajee
 
Back
Top Bottom