Waliochaguliwa UDOM-CIVE

chalupa

Member
Oct 14, 2014
36
29
kwa first year wote waliochaguliwa udom-college of informatics and virtual education (CIVE) 2016/2017 tukutane hapa uliza swali lolote utajibiwa! karibuni sana na hongereni sana kwa kuchaguliwa kujiunga udom school of informatics as well as school of virtual education katika fani zifuatazo:
B.Sc HIS
B.Sc IS
B.Sc BIS
B.Sc CS
B.Sc CIS
B.Sc CE
B.Sc TE
B.Sc SE
B.Sc MTA
B.Sc ICT-MTD

walrmly welcome to study science courses related to IT at udom school of informatics and virtual education with conducive environmen. Tutazame majina yetu hapa: http://www.udom.ac.tz/wp-content/up...E-PROGRAMMES-FOR-ACADEMIC-YEAR-2016.2017.xlsx
 
Mkuu ya BSC TE nitakusaidia kuwajibu ila uwaambie ukweli tu kuwa kuna Chief Mtaho wasije wakakulaumu badae
 
Mkuu ya BSC TE nitakusaidia kuwajibu ila uwaambie ukweli tu kuwa kuna Chief Mtaho wasije wakakulaumu badae
dogo acha kuwatisha mtaho ,mbona wakawaida wewe kakufundisha somo moja unalalma na sisi tulosoma manne
 
Back
Top Bottom