mimi nawapenda wachagga na marafiki zangu asilimia kubwa ni wachagga.lakini kwa hili la wachagga kujazana tra ni kweli.kuna dept ambayo ina wafanyakazi 36 kati yao 21 ni wachagga na rafiki yangu akiwemo.mda wa chai ni aikambe/aika mai.lakini mi naona sawa kwa sababu si tatizo lao,tatizo ni serikali ambayo mfumo wake wa uongozi umezeeka.sasa hivi kila taasisi zimegawana kwa makabila ukikosa tra tafuta taasisi ya kabila lenu.kuna taasisi ya wasukuma,wabena,wamasai,wakuria, nk.mia