Waliochaguliwa Rao Health Training centre, tukutane Hapa

Waliochaguliwa Rao Health Training centre, tukutane Hapa

Karibu shirati rafiki... .kama kuna mdada yupo humu na kachuguliwa ama rao au kmt ntakua mwenyej ake....ani PM
 
Je Sifa ya kujiunga

Mkuu Inategemea na course unyoiitaj mfaño kwa CLINICAL MEDICINE unatakiw uwe na ufaulu wa masomo ya science kuanzia D I.e chemistry, bio, na phy...... Na kwa community health unatakiw uwe na D kuanzia nne lkiwemo ya biology,,,, ispkuw masomo ya dini.......
 
Back
Top Bottom