waliochaguliwa Lyamungo high school.

waliochaguliwa Lyamungo high school.

Usinikumbushe lyamungo maana nakumbuka enzi zile za miaka ya tisini nilipoingia form one na kula samaki ziitwazo kwaya
 
Jaman wote mliochaguliwa lyamungo nawajuza kuwa 2na bfu na umbwe sec so udumishe ushnd zd yao
 
manase kastaf 2011 aisee wkt cc 2naondoka pale f6.

Dah!!. Mmenikumbusha mbali sana. Namkumbuka huyo mzee ulikuwa ukimkorofisha lazima akutoe nduki na mwiko ama tonge la ugali.
Ila alikuwa hapendelei mtu yeyote katika kugawa msosi.
Hivi akina Mwalimu Chicago, Urage, Lyaruu, Mzuzu,Temba bado wapo kweli?
 
Lile shamba la weruweru bado lipo?
Vp kuhusu wanywa mbege bado wapo?
 
Dah!!. Mmenikumbusha mbali sana. Namkumbuka huyo mzee ulikuwa ukimkorofisha lazima akutoe nduki na mwiko ama tonge la ugali.
Ila alikuwa hapendelei mtu yeyote katika kugawa msosi.
Hivi akina Mwalimu Chicago, Urage, Lyaruu, Mzuzu,Temba bado wapo kweli?

Lyaruu aliondoka 2008 , Urage nlmwacha na miss Bahat. Temba aka baba pendeza nlimwacha.
 
Mchhhhh!! Shenziiii, unapiga scrambo!!! Mchhhhh!! Uku akingata meno!! Nani uyo ???????
 
Dah JF iwe na age restriction.Kumbe tuko na watoto wa shule humu jamvini?
 
Back
Top Bottom