Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

kuna grup la watsapp limeanzishwa kwa wale tunaoenda udom nitafute(0718117601) nikuadd ili tuwe updated na mambo yanayoendelea
 
embu naombeni muniangalizie shule ya turiani mtu mmoja anaitwa minister martin
 
Kilaa tyu serikali wana kufanyiaa isipoo kuwa tafuta hela y kulipiaa hostel..n sh280000 kw mwka..na..kuhucu msosi mna nunua wenyewe n hela mtakayo kuwa mkipewaa aka boom ambayo n sh300000 kwa kila baada y miezi minne...asanten
 
na mkopo hutatolewa kwa walioapply? au kwa wote?.ahsante ndugu yetu@#ZAFRYJUMA kwa mchango wako naomba nifahamishe zaid.
 
kaka naomba embu ya tuliani nichekie mtu flani mmoja anaitwa minister martin
 
embu niangalizieni huyu jamaa anaitwa maurus khamisi s3731/0012
 
Search Results [Total 0 Result(s) For "S3731/0012"]
 
Search Results [Total 0 Result(s) For "S4530/0024"]
 
Kilaa tyu serikali wana kufanyiaa isipoo kuwa tafuta hela y kulipiaa hostel..n sh280000 kw mwka..na..kuhucu msosi mna nunua wenyewe n hela mtakayo kuwa mkipewaa aka boom ambayo n sh300000 kwa kila baada y miezi minne...asanten

Direct cost, na boom hazikuwa hivyo hata mwaka jana. direct cost ilkuwa 285 000/-
boom 367500/- lakin mwaka wa masomo 2015/16 vyote vitapanda. Taarifa rasmi kutoka heslb boom litakuwa 520 000/- in two months. Direct cost nayo itapanda but sina taarifa rasmi juu ya ongezeko litakolowekwa na uongoz wa chuo kulingana na kupanda kwa gharama za uendeshaji chuo na maisha kwa ujumla.
 
Okyy..ndooo itakuwa vizr mkuu
 
wenye join instruction form ya mwaka jana atuwekee hapa tuiangalie
 
Direct cost, na boom hazikuwa hivyo hata mwaka jana. direct cost ilkuwa 285 000/-
boom 367500/- lakin mwaka wa masomo 2015/16 vyote vitapanda. Taarifa rasmi kutoka heslb boom litakuwa 520 000/- in two months. Direct cost nayo itapanda but sina taarifa rasmi juu ya ongezeko litakolowekwa na uongoz wa chuo kulingana na kupanda kwa gharama za uendeshaji chuo na maisha kwa ujumla.

Sasa mkopo mpaka tu apply ss km form six
 
Hakuna mkopo unaotolewa bila kuomba kwa sababu bodi haiwezi jua kama unahitaji au la.
Kama unahitaji tembelea website ya bodi ya mikopo HESLB ili uapply vinginevyo utakosa, na ukipata utakuwa umetumia nguvu nying sana kuja kuupata.
 
Vp wana appply mkopo au wata apply wakifika maana cku za application ilishaisha?
 
Back
Top Bottom