A Father
JF-Expert Member
- Nov 11, 2012
- 1,390
- 609
Jamani kuhusu mkopo inakuaje kwa watu wa special programme au na sisi inatupasa tuapply heslb....mwenye kujua msaada plz
Dead line ya kuomba mkopo hapo wameweka ni mwez june 30
Jamani kuhusu mkopo inakuaje kwa watu wa special programme au na sisi inatupasa tuapply heslb....mwenye kujua msaada plz
Ninaswali linalonisumbua akili kwa wale kwenye pass ya 1.4 yaani( ana c-4 na d-2) wanaenda wapi?
Mwenye link ya kutufikisha kwenye hayo majina atuwekee... bhac
New City yale majina yamesitishwa kwa mda kidogo
Imesogezwa hadi tar 31 july cheki hapa Bodi ya Mikopo yaongeza muda wa kuwasilisha maombi
Kwahiyo nasisi inatakiwa Tuombe au ???
Tuliochaguliwa Special diploma
jamani naitwa ebenezar s ramadhani embu niangalizieni kama nimepangwa uko 0715547842
Wadau iv ni diploma ya ulimu secondary au shule ya msingi?
mkuu naomba nsaidie namba yako tuwasilisne ntashukurukaribuni vijana... mwenye swali lolote ani pm,,, nipo second year phy/chem...