jaman naomba msaada jinsi ya kuangalia majina ya walio chaguliwa kujiunga na diploma jina langu JACKSON ALPHONCE S.3683/0018
kwa wale walio udom mda mref nna maswali kidogo naombeni mnisaidie 1 mikopo tunatakiwa kuomba au tutapatiwa 2 form za kujiunga zinapatikana wap 3 mahitaji muhimu wakat wa masomo ni yap 4 naomba unielezee kuhusu boom 5 mkopo unasaidia nin au ukipewa unasaidia kulipia hela ya hostel au 6 hela ya boom wanasema tunapewa kila baada ya miez minne hii c tunapewa watu wrote bila ya kuomba
Please naomba mniangalize majina yote S.3007 Magengati secondary school.
Tuelekaze wakubwa kwa walee mliopitia uko udm mkopo ni kwa miez m2 am m4
Ila kama umechaguliwa waweza nicheck whatsapp nikuadd kwa group la waliochaguliwa kwenda udom
#0757839176
Sisi tusiokua whatsapp utatusaidiaje
Hiyo hapo kk