Waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ualimu mwaka 2015/2016

Waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ualimu mwaka 2015/2016

yapo yaliyotoka kama wiki moja iliyopita lakini ni kama vile ni wale wa mwaka jana, yaani yametoka 2015/2016 lakini ni intake ya 2014/2015.
 
Nisaidien entry qualification za kujiunga Na mafunzo ya ualimu kwa aligemaliza kidato cha nne 2014
 
Asante Mkuu sister angu ana pass ya 1.0 basi kaikosa

mwambie arudie mtihani mana ualimu kwa sasa sio lelemama mana japo una distinction,merit au credit lakin kuna pepa tena ya mchujo inaitwa big result now kabla ya kukanyaga mwaka wa2.
 
Back
Top Bottom