Waliochaguliwa Arusha technical College ATC 2017/2018 tukutane hapa

Waliochaguliwa Arusha technical College ATC 2017/2018 tukutane hapa

Kumbo El Capitanol

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
286
Reaction score
237
Hapa ni kwa ajili ya kufahamiana zaidi na kupeana taharifa mbalimbali kuhusu chuo kama vile accommodation na mazingira kwa ujumla, pia hata kukifahamu chuo kwa undani zaidi, bila kusahau kuwekana sawa katika utata wa program husika..

Karibuni wanafamilia wa ATC.
 
Hapa ni kwa ajili ya kufahamiana zaidi na kupeana taharifa mbalix2 kuhusu chuo kama vile accommodation na mazingira kwa ujumla, pia hata kukifahamu chuo kwa undani zaidi, bila kusahau kuwekana sawa katika utata wa program husika..

Karibuni wanafamilia wa ATC.
nimechaguliwa electrical and biomedical engineering vp iko poa
 
Mabibi na mabwana mliochaguliwa ATC mosi napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza wanafunzi wenzangu kwa kuchaguliwa ,Kuna Wassap group imeanzishwa kwa intake ye2 (2017/2018) kwa atakaekuwa interested ni PM namba yako nikuadd.Lengo ni kufahamiana na kupeana taarifa mbalimbali kuhusu udahili wetu & so much more

Karibuni sana
 
Jengo jipya la utawala.
P2262451.JPG
 
Mabibi na mabwana mliochaguliwa ATC mosi napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza wanafunzi wenzangu kwa kuchaguliwa ,Kuna Wassap group imeanzishwa kwa intake ye2 (2017/2018) kwa atakaekuwa interested ni PM namba yako nikuadd.Lengo ni kufahamiana na kupeana taarifa mbalimbali kuhusu udahili wetu & so much more

Karibuni sana

0765102244 Naomba uniunganishe kwenye hilo group. Nimechaguliwa kozi ya BIT.
 
0745900148 niunganishe kwenye group la whasap
 
Back
Top Bottom