Habari za asubuhi wana Jamvi, mimi ni mmoja kati ya watu walio omba kuuziwa viwanja vya mradi wa Gezaulole Kigamboni, nilichukua form nane moja ya kwangu nyingine ya mke wangu na hizi zingine za wadogo wangu ambao ni watu wazima na hawana makazi, niliamini tutapata japo viwanja viwili vitatu. Lakini cha ajabu orodha imebandikwa rasmi kinyemela pale Manispaa ya Temeke ikionyesha watu wanao stahili kuuziwa hivyo viwanja, sisi hatuja bahatika hata kiwanja kimoja. Kwa haraka haraka nimegundua ili kupata hivyo viwanja inabidi uwe na bahati sana au uwe na jina kubwa kama ambavyo yanasomeka pale Temeke. Baadhi ya watu waliobahatika kupata hivyo viwanja ni.
1.Khalfani Kikwete amepata haki ya kuuziwa kiwanja cha ujazo wa chini(Kikubwa)
2.H. Ghasia amepata haki ya kuuziwa kiwanja cha ujazo wa chini(Kikubwa)
3.M. Mwandosya amepata haki ya kuuziwa kiwanja ila hawaja-specify aina ya kiwanja anachotaka.
Hawa ni watu wachache tu kati ya orodha ndefu ambayo kutokana na moyo wangu kuumizwa sana sikuendelea kuisoma.
Inaniuma sana kati ya form nane hakuna mwenye sifa za kuuziwa kiwanja na serikali? kwasababu tuliambiwa kiwanja kimoja tutashindanishwa watu watatu. Na kama ushindani ulikuwa mkubwa inakuwaje mtu amepata kuuziwa kiwanja ambacho bado specifications zake zinafanyiwa kazi?
Source: Ubao wa matangazo manispaa ya Temeke

Pumbaaaaa
Watu kama hao sio wakuwajibu nikuwaacha tu.Hivi wewe ni kichaa?
Even a fool see he/she is wise in his/her face.
mimi sielewi neno pumba linatoka wapi hasa, Au katika mada hii pumba ni nini?
Jaribu kuipa heshima Computer yako! Onyesha angalau Elimu yako ina hadhi ya kujua kuitumia computer yako.
This is so emberrassing for a greater Thinker!!
Kwahiyo mtu anapolalamika kwa udhibitisho kuwa hawa viongozi wetu wanauziana ardhi wao kwa wao ni pumba kwako.
Hatukatai kuwa wao ni raia kama sisi na wana haki ya kuuziwa kama wananchi wengine lakini kuna jinsi ya kuangalia mambo kwa jicho la tatu.
Ndio maana tunaita huu ni uwanja wa great Thinkers, hata kama wewe sio great thinker, jaribu hata kuigiza kama great thinker, Kama hawezi hata hilo hapa sio uwanja wako.
Na wewe ndio umetumia akili hapo.......acheni ushabiki wa kijinga...hakuna topic zingine zaidi ya kusema watu bila mpango, ooo watoto wa wakubwa mara wanaccm, yote hii ni wivu....Hivi wewe ni kichaa?
Even a fool see he/she is wise in his/her face.
mimi sielewi neno pumba linatoka wapi hasa, Au katika mada hii pumba ni nini?
Jaribu kuipa heshima Computer yako! Onyesha angalau Elimu yako ina hadhi ya kujua kuitumia computer yako.
This is so emberrassing for a greater Thinker!!
Kwahiyo mtu anapolalamika kwa udhibitisho kuwa hawa viongozi wetu wanauziana ardhi wao kwa wao ni pumba kwako.
Hatukatai kuwa wao ni raia kama sisi na wana haki ya kuuziwa kama wananchi wengine lakini kuna jinsi ya kuangalia mambo kwa jicho la tatu.
Ndio maana tunaita huu ni uwanja wa great Thinkers, hata kama wewe sio great thinker, jaribu hata kuigiza kama great thinker, Kama hawezi hata hilo hapa sio uwanja wako.
Siku nyingine tumia kichwa kufikiri,badala ya sehumu ya kutolea ushuziPumbaaaaa
Umetumwa wewe si bure!Pumbaaaaa
Nimeipenda hii,Hakika!!Mkuu sheria duniani haki mbinguni!!!