Walioangalia taarifa ya habari ya Star tv wameona ukweli wa hali ya Kigoma ilivyokuwa jana

Dijovisonjn

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
467
250
wana kigoma wameonekana kumsupport sana kiongozi wao, kuna dada kasema anamuona Zitto kama raisi na mama mwingine kasema yupo tayari kuhama na kumfuata Zitto popote atakapoenda, mzee mmoja kasema hakuna bendera ya Chadema kwa sababu hawaijui hatma ya Zitto ndani ya chadema, wengine waliohojiwa wamedai ukabila ndo chanzo kikuu cha uonevu kwa Zitto.
Wote waliohojiwa (watu watano, wanawake wawili na wanaume watatu) walikuwa wananchi wa kawaida.
source: startv habari

sasa pro Mbowe & Dr. Slaa endeleen na propaganda zenu.
 

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,614
2,000
Leo nimeelewa sababu ya jk kupuuza kura za wafanyakazi 2010. hata watu wa kigoma ni wakuwapuuza pamoja na mpuuzi wao zitto.

kwa hiyo kwaajili ya zitto ni heri tuendelee kutawaliwa na maccm? Waha dhalili.
 

Tozeshai Kiagha

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
210
225
Endeleeni kutokwa na mapovu,but mind you Zitto is no more.
MaCCM mchukueni mtu wenu na wafuasi wake,that's all.
Chadema has to be free from traitors.
CHADEMA STILL GOING STRONG AND STRONG TO STAY ALIVE.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom