Walioandamana UDSM wafutiwa kesi

Mpita Njia

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
6,997
1,163
Mahakama ya Kisutu leo imefuta kesi dhidi ya wanafunzi 51 wa UDSM waliokuwa wanashitakiwa kwa kuandamana visivyo halali wakati wa mgomo mwaka jana. Kesi imefutwa kwa sababu upande wa mashitaka umeshindwa kuleta mashahidi tangu ilipofungua kesi hiyohadi leo
 
vipi maandamano mwaka huu,kwa kuwa accomodation imepanda main campus up to TSH 800/=Per day

KAZI IPO MWAKA HUU,UDSM
 
800 per day ni fair ndugu toka angalau zipatikane hata hela za kukarabati hall 2 na 5 mnataka muishi kwa 400 utadhani nyumba za mazense kwa mfuga mbwa?
 
Back
Top Bottom