Private Candidate
Member
- Apr 5, 2013
- 32
- 6
Wafanyakazi wanaosadikika kuajiriwa Kwa kukiuka taratibu Za ajira Wakati Wa G5 i.e. Mgawe, Koshuma,M/s Nkya, Kilo Na Ngamilo na wapya Kwa shinikizo la vimemo kaeni mkao Wa kuhimili matukio
Nikuulize swali Private Candidate,huu ujumbe umewaandikia wana JF au wafanyakazi wenzako wa TPA?Kwa upande wangu sijakuelewa kabisa.Weka kitu humu kieleweke bana hasa kwa sisi ambao hatufanyi au hatuna information za kutosha huoni kama unatuacha njia panda.Anyways Ngoja nilewe nitarudi baadayeWafanyakazi wanaosadikika kuajiriwa Kwa kukiuka taratibu Za ajira Wakati Wa G5 i.e. Mgawe, Koshuma,M/s Nkya, Kilo Na Ngamilo na wapya Kwa shinikizo la vimemo kaeni mkao Wa kuhimili matukio
Wafanyakazi wanaosadikika kuajiriwa Kwa kukiuka taratibu Za ajira Wakati Wa G5 i.e. Mgawe, Koshuma,M/s Nkya, Kilo Na Ngamilo na wapya Kwa shinikizo la vimemo kaeni mkao Wa kuhimili matukio