Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,081
- 285,698
Mwaka 2020 umeisha ?kumbe unakili kisoda hiviKuna wale walioahidi kuiua chadema kwa njia zozote ikiwemo Uchawi , leo naandika haya ni june 15 2020 , ni muda uliopita kipindi chao cha makadirio , sasa nawauliza hivi , bado ndoto yao ipo ?
Maana sasa ni dhahiri kwamba Chadema imemshinda Shetani na inakwenda kutwaa nchi hasa baada ya kutangaza hadharani kwamba itafuta ukandamizaji , zikiwemo sheria za kijinga zilizopitishwa ili kuwalinda watu fulani , kutokomeza mauaji ya wasio na hatia yaliyofanywa desturi , itaongeza mishahara ya wafanyakazi kama katiba inavyoelekeza huku ikiahidi kurudisha utaratibu wa kutoa ajira kwa vijana wa nchi hii ambao umefutwa kwa sababu zisizofahamika .
Ewe uliyeahidi kusimamia jambo hili la kuua Chadema ni vema ukajitokeza ili utupe mrejesho au umepanua magoli ?
Anaumwa huyu hajavunja mguu kwenye ulevi kama mboweWaitara chapombe yupo wodini anajiuguza japo anasema hajui anaumwa nini
kwanza 2020 chadema itachanua zaidi , hata hivyo usipanue goliMwaka 2020 umeisha ?kumbe unakili kisoda hivi
Anapoteza muda tu, aagize vifaa vya nyunguWaitara chapombe yupo wodini anajiuguza japo anasema hajui anaumwa nini
Unatumiaje dola kupambana na marehemu?Kwani haijafa?
Nyungu nation wagonjwa feki wa koona wapo 66Anapoteza muda tu, aagize vifaa vya nyungu
Usiku huu kuna tetesi gesi zimeagizwaWaitara chapombe yupo wodini anajiuguza japo anasema hajui anaumwa nini
Tunamuombea asikutane na mchomoa betriUsiku huu kuna tetesi gesi zimeagizwa
Juzi waziri wa afya alisema wamebaki 6Nyungu nation wagonjwa feki wa koona wapo 66
Nyungu 100%Usiku huu kuna tetesi gesi zimeagizwa
Majaliwa kasema wapo 66Juzi waziri wa afya alisema wamebaki 6
kumbe hakijafa !Mi naona kipo ICU na kwa Sasa kipo kwenye ule msemo, the last kick of diying horse
Mnara wa BabeliMajaliwa kasema wapo 66
Ndio kinapiga piga mateke ya kukata pumzikumbe hakijafa !
Atazikwa na jijiUnatumiaje dola kupambana na marehemu?
Atazikwa na jiji