Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,623
- 1,097
Nawaomba ushauri kuhusu uaminifu au tija ya kampuni ya Magari ya SBT Japan Co, Ltd
Nima mpango wa kutuma pesa ($) huko waniletee gari. Pia ni nani kati ya waaiiri wake nimwamini kwani majina yao inaoekana ni mengi (Mfano Ahmer Khan, Aamir Abdul Jabbar, SBT Motors UK Limited nk. ) nk.
Nilichungulia mtandao wao nikajiregista kwa e-mail na sasa wanapiga simu kila kukicha, ila ia ninayo.
Naogopa kutapeliwa jamani.

SBT ni wazuri, ila tatizo kuna watu wana cheza na account za watu, unaweza kufikiri unawasiliana na SBT kumbe matapeli wengine kupitia mtandao, nakushauri kama ni mara yako ya kwanza kununua gari, nunua kupitia tradecarview hii ni website inayowakutanisha suppliers wengi wa magari pia unapolipa pesa unawalipa wao tradecar wakati wewe unafanya mawasiliano na supplier wako kupitia mfumo maalum wa email ambao tradecar wanaumonitor, supplier akitoa ushuhuda kwamba gari imetumwa kwa mlengwa ndipo tradecar wanarelease pesa kwa supplier, hivyo pesa zako zinakua salama mpango wao unaitwa PAYTRADE itakulazimu ujisajili kwanza.
Google haraka na ulizia ubalozi wa Japan kwa email utapata jibu la uhakika.
Ushauri umezingatiwa Mkuu
.... website inayowakutanisha suppliers wengi wa magari pia unapolipa pesa unawalipa wao tradecar wakati wewe unafanya mawasiliano na supplier wako kupitia mfumo maalum wa email ambao tradecar wanaumonitor, supplier akitoa ushuhuda kwamba gari imetumwa kwa mlengwa ndipo tradecar wanarelease pesa kwa supplier, hivyo pesa zako zinakua salama mpango wao unaitwa PAYTRADE itakulazimu ujisajili kwanza
Jamaa hawana shida, sema wasumbufu sana kwenye suala la kupiga Piga cm na kutuma email
Hawana shida kabisa. Ni kweli kuwa ujiandae kupokea simu 1000 hata mwaka baada ya kununua gari.
wanawajali wateja na wanajua kufuatilia nasi kama watanzani tujifunze ktk hili
Nimenunua gari Mara mbili toka SBT Japan na zimefika zote na ni poa sana. Ila simu utapokea hata miaka 10, cha kufanya unazipotezea usipokee.
simu Miaka 10????hapo ni bora kuwa na line kwa ajili ya mchakato wao,then ukishapata gari unatupa line
simu Miaka 10????hapo ni bora kuwa na line kwa ajili ya mchakato wao,then ukishapata gari unatupa line
Mkuu,hawa jamaa wapo vizuri sana,mi mwenyewe juzi tu nimetoka kununua escudo na imefika mapema zaidi kuliko nilivyonunua kwa kutumia beforward,hawa jamaa wanapiga simu balaa,ila ni waminifu sana kwani gari ilivyofika wiki iliyopita walinipigia va kuniuliza nimeukuta gari ipo ktk hali gani,nikawaambia bomba mbaya,wakaniambia kama nikiwa ba mtu mwngine anataka kununua gari niwaunganishe nae na watanipa commission,kiukweli nimewakubali,kikubwa zaidi hawa jamaa una uwezo wa kubargain nao na kuwashusha bei zao hadi kufikia punguzo la dola mia nne,kwani langu bei ya mwanzo ilikuwa dola 3800,lakini mm wamenipunguzia hadi $3400,mkuu kila la kheri