Walio wengi watabisha,Walio wachache watakubali.

Mama ametisha sana
 
Huwo mfugo hatar

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
farkhina sio mbaya na wengine wakauchukua tukawaona pale mitaa ya Posta uko kwetu Dar wakitambaa ha!ha!ha!
 
Kibongo bongo atakuwa huyo Mwanamke amemlisha mume wake Limbwata hilooooooooo

Inawezekana isiwe Limbwata ni maridhiano tu wakawa wamelidhiana tukawaona mtaani kama hiyo ikija uko ukimfumania tu unamtembeza hivyo sipati picha wale Viongozi wetu..............Ha!ha!ha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…