Chakula ni ibada si vizuri kukichezeaPale Mzee wako alikuwa anafundisha Maarifa ya jamii shule ya msingi
![]()
Hahahaaa kweliHuyo aliyekula hivyo atakuwa mtoto wa mwl wa geography
Unakula huku una remember maps,Nimecheka sana but i could not understand how does that African map has anything to do with wazazi walio walimu ?