Mwafrikamtanzania
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 755
- 806
Mbona walikimbia wengi na chama chao Bado kipo!Lengo la chama chochote cha siasa ni kushika dola kupitia chaguzi
Sasa kama wamegoma nakuhakikishia baada ya miaka mitano Chadema kitakimbiwa na wanachama