Walio na Tamaa Utawajua

Walio na Tamaa Utawajua

umenikumbusha kwaya ya Bulyanhulu aisee, kuna wimbo wao mmoja wa kitambo sana una hicho kiitikio!

Unaipata hiyo nyimbo, nayoisema!!
Siyo Bulyanhulu mkuu, ni kwaya ya barabara ya 13 Ulyankulu Mkoa wa Tabora. Nimewahi kusali kanisa hilo wakati huo miaka ya 80, hao jamaa wanaimba sana.

Wale wa mkoa huo na pia wapenzi wa kwaya enzi hizo watakumbuka kulikuwa na kwaya ya Nkinga Christian ya Nzega palikuwa hapatoshi, siyo siku hizi watu wanakurupuka na wimbo eti "Shetani na mama mkwe wake wanaliaaaa....wamekalia misumari....."
 
mtume paul alisema dhambi zote hutendwa nje ya mwili isipokuwa zinaa ,zinaa hutendwa ndani ya mwili na mwili ni hekalu na roho mtakatifu, so paul hakuwa mjinga kusema tuikimbie zinaa, we unaona dhambi ya zinaa inakunyemelea bado upo pale pale toka nduki mwanawane huwezi kushindana nayo
 
Siyo Bulyanhulu mkuu, ni kwaya ya barabara ya 13 Ulyankulu Mkoa wa Tabora. Nimewahi kusali kanisa hilo wakati huo miaka ya 80, hao jamaa wanaimba sana.

Wale wa mkoa huo na pia wapenzi wa kwaya enzi hizo watakumbuka kulikuwa na kwaya ya Nkinga Christian ya Nzega palikuwa hapatoshi, siyo siku hizi watu wanakurupuka na wimbo eti "Shetani na mama mkwe wake wanaliaaaa....wamekalia misumari....."

Nyimbo za dini za sasa hazina tofauti na za mzee Yusuph
 
'Mwenye BUSARA huona hatari na kukimbia, bali -------- huendelea na kuangamia'
 
Haaa haaa hah!
Barabara ya 13 na Nkinga walikuwa wanaichambua biblia kwa njia ya nyimbo tu!! Kweli siku izi nyimbo za dini ni full kukurupuka tu. Kdg Shusho anajitahidi kuichambua bible kwa zama izi.
Aisee pmj na barabara ya 13 kuwa na nyimbo nzuri na kuichambua bible nasikia wengi wao waliangamia kwa UKIMWI!
Siyo Bulyanhulu mkuu, ni kwaya ya barabara ya 13 Ulyankulu Mkoa wa Tabora. Nimewahi kusali kanisa hilo wakati huo miaka ya 80, hao jamaa wanaimba sana.

Wale wa mkoa huo na pia wapenzi wa kwaya enzi hizo watakumbuka kulikuwa na kwaya ya Nkinga Christian ya Nzega palikuwa hapatoshi, siyo siku hizi watu wanakurupuka na wimbo eti "Shetani na mama mkwe wake wanaliaaaa....wamekalia misumari....."
 
Haaa haaa hah!
Barabara ya 13 na Nkinga walikuwa wanaichambua biblia kwa njia ya nyimbo tu!! Kweli siku izi nyimbo za dini ni full kukurupuka tu. Kdg Shusho anajitahidi kuichambua bible kwa zama izi.
Aisee pmj na barabara ya 13 kuwa na nyimbo nzuri na kuichambua bible nasikia wengi wao waliangamia kwa UKIMWI!
Sina hakika ila ninachojua wengi wao walikuwa ni wakimbizi tokea nchi jirani, pengine walirejea nchini kwao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom