Walio na Tamaa Utawajua

Walio na Tamaa Utawajua

Wewe hujawahi kutamani mume wa mwenzio?
kwani umeona dhambi kubwa ndo hiyo hakuna dhambi kubwa wala ndogo best zote ni dhambi na machukizo mbele za Mungu hivyo jitahidi sana usiishawishike na tamaa za ujanani au tamaa zako mwenyewe
 
hebuu muulize huyu yesu.jpg atakujibu vyema maana mie naona tutakinzana bure na kutoka nje ya mada hapa
Na hukumu isiyoneneka ikikomaa......
 
hebuu muulize huyu View attachment 100350atakujibu vyema maana mie naona tutakinzana bure na kutoka nje ya mada hapa
Dada ladyfurahia mbona sasa unataka kuenda kinyume na jina lako? Hivi hujui kuwa wewe ni mwalimu wetu wa kwaya? Kuna ubaya gani nikianza maswali yangu hapahapa kabla ya Mwananyamala kisiwani maana sijui hata sauti yangu yakuimbia ni yangapi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom