Walio na Tamaa Utawajua

Wewe hujawahi kutamani mume wa mwenzio?
kwani umeona dhambi kubwa ndo hiyo hakuna dhambi kubwa wala ndogo best zote ni dhambi na machukizo mbele za Mungu hivyo jitahidi sana usiishawishike na tamaa za ujanani au tamaa zako mwenyewe
 
bora umenisaidia kumjibu huyo asiyeelewa sijui darasani ilikuwaje nahisi walimu wake walishindwa wakamwacha aende vidato mpaka ngazi yake ya kutokuelewa
Tamaa mbayaa!!
 
hebuu muulize huyu View attachment 100350atakujibu vyema maana mie naona tutakinzana bure na kutoka nje ya mada hapa
Dada ladyfurahia mbona sasa unataka kuenda kinyume na jina lako? Hivi hujui kuwa wewe ni mwalimu wetu wa kwaya? Kuna ubaya gani nikianza maswali yangu hapahapa kabla ya Mwananyamala kisiwani maana sijui hata sauti yangu yakuimbia ni yangapi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…