Walio na mamlaka wameamua kuandika katiba

Walio na mamlaka wameamua kuandika katiba

Tembo wengi sana kule kidabaga (selous &Ruaha )gunned down leo wanautaka ubunge..it's a joke...bin kleb pale morogoro tembo wetu kule tunduru ipo siku utajibia mahakamani
Duh! Kumbe chanzo cha utajiri ni ujangili wa tembo na kuuza meno ya tembo? 🤣 Nishawahi kusikia hilo suala kuwa meno ya tembo yametajirisha watu wengi sana 🤣🙌🏿🙌🏿🙌🏿
 
Mzee ASAS alikuwa na Watoto Watatu wanaume Salim, Munif na Naif na wote walisoma The Highlands Sec School

Walipomaliza form four baba yao aliwagawia utajiri Munif na Naif wakahamia Dar na Salim akabaku Iringa

By then Matajir wa Iringa walikuwa ST Abri, FM Abri, Nahdi, ASAS na Huwel kwa upande wa Waarabu

Lakin Salim akaubuka kuwa tajiri mkubwa kwa sababu hana longolongo na CCM wakajipendekeza na yeye akakipenda Chama

Wakati Salim yuko sekindari mchungaji Msigwa alikuwa anauza mitumba Miyomboni na sasa ni marafiki wakubwa tu

Ahsante!
Huyo karithishwa, maji hufuata mkondo. Je asas hawana undugu na abri, au ni kitu kimoja?
 
GRW tanker trailer( imvubu)all aluminium profile si chini ya dola laki moja!! Scania xt ni dola laki unusu pale vingunguti combinatiob ya kichwa na teailer si chini ya dola 250,000. serin tanker ipo chini kidogo ila nayo ikiwa ya aluminiun bei hazitofautiani na grw
Mkuu hebu thaminisha hiyo fleet yake ya juzi juzi. Wanasema zilikuwa tanker 50 wengine wanasema zilikuwa 25, wengine wanasema zilikuwa 35. Hebu kadiria 25 Jumla ni usd ngapi? Ukigeuza kuwa tsh inakuwa jumla ngapi?

Ndio maana yake!

Salim ni mwarabu tofauti na hao wengine wauwa tembo!
Kuna mdau kasema na yeye kaua tembo ruaha iringa. Ndio maana ni Tajiri sana. Au ndio maana yupo karibu sana na ccm asije akakamatwa au kuwekwa jela kwa ujangili.
 
Kuna mdau kasema na yeye kaua tembo ruaha iringa. Ndio maana ni Tajiri sana. Au ndio maana yupo karibu sana na ccm asije akakamatwa au kuwekwa jela kwa ujangili.
Watu wa tembo Iringa wanaeleweka hao hawamo

Waarabu koko ndio wameuwa sana tembo Ruaha enzi hizo wakiitwa Waburushi
 
Watu wa tembo Iringa wanaeleweka hao hawamo

Waarabu koko ndio wameuwa sana tembo Ruaha enzi hizo wakiitwa Waburushi
Duh! Au huyo asas na yeye anashika mali za watu wazito? Je hizo tetesi zipo au ushawahi kuzisikia? Maana malori aliyonayo barabarani na anayoendelea kuongeza kwa ajili ya transit za zambia na drc ni mengi na Gharama za juu mno 🤣🤣🤣🙌🏿
 
Yule ni mwarabu pure huwezi changanya Biashara pale😄😄

Wazito huwekeza kwa Waswahili wenzao akina Nyagawa au Super Feo

Scandinavian Bus alifanya huo uwekezaji na Wazito akajikuta anashukiwa na Kitu kizito
 
Shida Moja CCM ikiwa teyari kufanya michakato ya katiba mpya baadhi ya vyama vya upinzani vinasusia kutoa ushirikiano. CCM ikirudi nyuma vyama vya upinzani vina push agenda ya katiba mpya basi ni full mvulugano sina hakika kama kweli tutatoboa kwenye hili kiukweli lamda CCM waamue safari hii kutokurudi nyuma .
 
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo amewaeleza wananchi kuwa kazi ya kujenga nchi siyo ya lelemama na kuwa CCM inataka Katiba bora kuliko mtu mwingine yeyote.

View attachment 2636922
Kikwete alisema tujifunze kwa ndege mbayu wayu. Akili za kuambiwa changanya na zako.
 
Back
Top Bottom