Leo katika kusheherekea sikukuu ya Krismasi nimeamua kufika Mwanza ili nipate Sangara na Sato nitakuwa hapa Malaika Beach kama kuna mtu maeneo hayo naomba tuonane tubadilishane mawazo.

Mwanza. Rock city. Furahisha pedestrian bridge ( nadhani wasukuma mmepiga selfie za kutosha). Bismarck rock beach!
Charcoal ribs, jembe, Villa park,
Hongera mwanza. Tatizo hakuna hela! Mademu bado!