scientificall JF-Expert Member Joined Jun 4, 2015 Posts 460 Reaction score 360 Oct 23, 2015 #1 habari zenu wana jamvi kwa yeyote aliyechaguliwa saut main cumpas tukutane hapa kwa mwenye swali na taarifa zaidi kuhusu chuo nawasilisha
habari zenu wana jamvi kwa yeyote aliyechaguliwa saut main cumpas tukutane hapa kwa mwenye swali na taarifa zaidi kuhusu chuo nawasilisha
S salym abdul Member Joined Oct 19, 2015 Posts 9 Reaction score 0 Oct 23, 2015 #2 Hngra ndg nenda kakaze maana cunajua kule mzee palivyo
J James Akaro New Member Joined Sep 13, 2015 Posts 1 Reaction score 0 Oct 23, 2015 #3 Ada ya waliochaguliwa first year mwaka huu, ni kiasi gani?
bongompya JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 224 Reaction score 43 Oct 23, 2015 #4 NA WALE WA SAUT SONGEA TUKUTANE HAPA >>>>>>http://ajuco.ac.tz/images/Downloads/SELECTED STUDENTS.pdf