Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Vipi wa CCM hawawezi tekwa?
Walinzi wanatekwaje afu yeye anaelindwa akaachwa salama?
Acha unafiki na kujipendekeza, kuwa na aibu wakati mwingine usijifanye hujui yanayoendelea, mtu mzima hovyoHizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu
P
Kada umekuwa cheap sana siku hizi, very shallow, unaropoka hovyo kama mtoto mdogo.Hizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu
P