MAMMAMIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 3,811
- 1,606
Kwa nini walinzi wa marais wa nchi zinazoendelea kwa jumla lakini hasa Afrika, wanavalia sare za kijeshi? Ukiangalia walinzi wa nchi zinazoendelea, wanavalia suti karibu sawa na marais wanaowalinda. Kuna sababu gani nyuma ya tabia hizi na ukweli huu?