peter babagody
Senior Member
- Jun 16, 2016
- 103
- 44
Japo ni kwa ufupi lakini naomba wajuzi wa maswala haya wanisaidie juu ya hawa jamaa wanaosimama nyuma ya watawala wetu. Napata shida nikifikiri muda wanaotumia na kwamba kila muda Rais alipo na wao wapo wanapata vipi muda wa 'ku kwich kwich'. Ina maana hawana familia.
Naomba kuwasilisha
Naomba kuwasilisha