Tetesi: SUMA JKT GUARD: Mtegoni rushwa, Walalamikiwa

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,047
20,412
DAR ES SALAAM: Kampuni ya JESHI SUMA JKT inayomiliki walinzi Dar es salaam na mikoani, imelalamikiwa na watu mbalimbali kuhusu rushwa.

Walinzi wa kampuni hiyo hasa wa UTUMISHI-DAR ES SALAAM, pale FERRY upande wa Kigamboni na Magogoni nao ndio wanaongoza.

Wale pale UTUMISHI wana bajaji zao kama nne, zinafunguliwa private gate zinabeba abiria wanaokwenda CRDB-PALM BEACH , means kila trip yule askari wa JKT anapewa 2000, kwa siku ANATOKA NA 20,000/- na hapo kuna bajaji zake 3 anazokusanya hiyo hela.

kumbuka abiria wengi hawapendi kwenda kule stendi kupanda bajaj maan wale madereva huwa wachafu na pia kunanuka shombo sana hivyo wengi wana prefer kwenda kudandia za njiani.

Pale FERRY hawa wamewakodishia machinga kwa siku wanalipwa 5000, hawa machinga wapo zaidi ya 10 , sasa utajua ni kiasi gani haw suma wanafanya.

HATUPINGI BIASHARA ila hawa machinga na ombaomba ambao wamepewa kibali na SUMA wanabuguthi abiria, wanawatukana, wanadhalilisha wanawake hasa kwakuwa watu wanabanana hivyo kugusa maugo ya siri ya wanawake , na kutuykana abiria bila kujali umri wao.

picha naanza kuweka za bajaj husika, baadae na wengine wekeni kwa siri za hawa ombaomba.
11.jpeg
1.jpeg
 
DAR ES SALAAM: Kampuni ya JESHI SUMA JKT inayomiliki walinzi Dar es salaam na mikoani, imelalamikiwa na watu mbalimbali kuhusu rushwa.

Walinzi wa kampuni hiyo hasa wa UTUMISHI-DAR ES SALAAM, pale FERRY upande wa Kigamboni na Magogoni nao ndio wanaongozz.

Wale pale UTUMISHI wana bajaji zao kama nne, zinafunguliwa private gate zinabeba abiria wanaokwenda CRDB-PALM BEACH , means kila trip yule askari wa JKT anapewa 2000, kwa siku ANATOKA NA 20,000/- na hapo kuna bajaji zake 3 anazokusanya hiyo hela.

kumbuka abiria wengi hawapendi kwenda kule stendi kupanda bajaj maan wale madereva huwa wachafu na pia kunanuka shombo sana hivyo wengi wana prefer kwenda kudandia za njiani.

Pale FERRY hawa wamewakodishia machinga kwa siku wanalipwa 5000, hawa machinga wapo zaidi ya 10 , sasa utajua ni kiasi gani haw suma wanafanya.

HATUPINGI BIASHARA ila hawa machinga na ombaomba ambao wamepewa kibali na SUMA wanabuguthi abiria, wanawatukana, wanadhalilisha wanawake hasa kwakuwa watu wanabanana hivyo kugusa maugo ya siri ya wanawake , na kutuykana abiria bila kujali umri wao.

picha naanza kuweka za bajaj husika, baadae na wengine wekeni kwa siri za hawa ombaomba.View attachment 2372494View attachment 2372495
Unataka kusemaje wacha watu wapige maisha kwa mwezi akiingiza laki 6 siyo mbaya
 
Wewe ni mdaku kama wadaku wengine haya sasa njoo wewe ulinde hili lindo langu...
 
Kama mlinzi analipwa laki na 40kwa mwezi ataachaje kujiongeza kutumia fusra
 
Law and Order.

Mshahara gani[shilingi ngapi] ndio unatosha?

Mama Salma Kikwete na wabunge kwa mwezi ni milioni 11 , juzi alipendekeza mshahara uongezwe kwakuwa ni mdogo na hauwatoshelezi:

Tujuzane mshahara wa shilingi ngapi unatosha?
 
njaa mbaya sana waacheni wapige zao za kubrashi viatu kama jiwe alivyohalalisha kipindi kileeee, sasa mtu analipwa mshahara 150,000/= na ana wake wanne na watoto unategemea anaishi vipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom