Walinzi wa CHADEMA na miwani ya kuchomea magrill

Walinzi wa CHADEMA na miwani ya kuchomea magrill

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,900
Reaction score
52,036
Hawa ni walinzi wa CHADEMA wakiwa na miwani ya kuchomea vyuma wanayovaa wachomea ma-grill

Mbeya3.jpg
 
Vipi wale wenu ambao hawana hata viatu. Naomba picha wadau. Teh teh teh!
 
Baada ya uchaguzi hili jeshi bado liko hai kweli??
Sio jeshi ni kampuni ya ulinzi wa chama na mali zake na inausajili,hawafanyi kazi kwa msimu kama huwahi kiwaona kabla hautawaona baada,kaa kmya
 
Sio jeshi ni kampuni ya ulinzi wa chama na mali zake na inausajili,hawafanyi kazi kwa msimu kama huwahi kiwaona kabla hautawaona baada,kaa kmya
Si red brigade hao?
 
wako vizuri utadhani ile muvi ya Saibogi msalabani
 
Eti hatutegemei Polisi
Tuna Linda kurazetu wenyewe
Safari hii hakuna kuibiwa kura

Kapigeni kura ulinzi niachieni Mimi
Wataiba kura lakini hawataiba zote maana ninyingi

Tumeibiwa kura
Hahahaha
Unatakiwa uwe Punguani kuwa shabikia hawa Nguchiro
 
Eti red brigade!!! Red brigade my asss! Ni sawa na kile kipindi cha uchaguzi unakuta jua kali kweli ila jitu limejifunika mibendera ya chadema, kofia soksi ya chadema na liscarf shingoni linanyonga huku jasho kibao, alafu unakuta jitu linakusalimia kwa mzuka, PIPOOOOZZZZZZZ!!!!
Hovyo kabisa, sasa hawa wanavaa miwani za wale wa wielding! Dah, wenyewe wanaona wametoka kweli.
 
Back
Top Bottom